Niliwajibika mkuuIla Mods na nyie sijui mna...au basi tu, ila mnazingua kwakweli.
Mtu alishaomba apigwe ban kama Simba ingeshinda kwenye mechi zake kadhaa za nyuma, Simba ikashinda na bado hamkumpiga ban huyu kenge.
Mna maslahi gani naye huyu kenge wa kijivu?
Simba ni sikio la kufa mkuu...kizungu tunasema it's a last kick of a dying horse [emoji23]Sawa mkuu tumekusoma na kukuelewa lakini kwanini ukate tamaa? nafikiri ungejaribu kuwashauri Simba nini cha kufanya badala ya kuwakatia tamaa.
Umedunda Kwa mwarabuGENTAMYCINE na OKW BOBAN SUNZU safari hii mnakuja na ulozi gani?
DrMkubwa unapuyanga sana aisee..yaani sikua najua km na wewe ndio km wale tu..ila hongera
Simba watake watapigwa....wasitake watapigwaDaah wewe jamaa unanikumbusha story ya wapelelezi wa Israel walotumwa kwenda kupeleleza nchi wakarudi na majibu ya kukatisha Tamaa ila kati yao wengine wakarudi na majibu ya kutia hamasa.Sasa wewe subili bani sisi na msemaji wetu mohamed ally hao wamisri hata wangekuwa namna gani tunachojua kwa mkapa hatoki mtu.Simba nguvu moja.
Hujambo
Hakuna sisi yanga hatuna uwezo wowote hatufanani hata kidogo na mamelodyYanga na mamelodi.... playing style zake zinaendana