Napenda Simba ila Simba iki-draw au kushinda nipigwe ban JF

Napenda Simba ila Simba iki-draw au kushinda nipigwe ban JF

Ila Mods na nyie sijui mna...au basi tu, ila mnazingua kwakweli.

Mtu alishaomba apigwe ban kama Simba ingeshinda kwenye mechi zake kadhaa za nyuma, Simba ikashinda na bado hamkumpiga ban huyu kenge.

Mna maslahi gani naye huyu kenge wa kijivu?
Niliwajibika mkuu
 
Daah wewe jamaa unanikumbusha story ya wapelelezi wa Israel walotumwa kwenda kupeleleza nchi wakarudi na majibu ya kukatisha Tamaa ila kati yao wengine wakarudi na majibu ya kutia hamasa.Sasa wewe subili bani sisi na msemaji wetu mohamed ally hao wamisri hata wangekuwa namna gani tunachojua kwa mkapa hatoki mtu.Simba nguvu moja.
 
Sawa mkuu tumekusoma na kukuelewa lakini kwanini ukate tamaa? nafikiri ungejaribu kuwashauri Simba nini cha kufanya badala ya kuwakatia tamaa.
Simba ni sikio la kufa mkuu...kizungu tunasema it's a last kick of a dying horse [emoji23]
 
Daah wewe jamaa unanikumbusha story ya wapelelezi wa Israel walotumwa kwenda kupeleleza nchi wakarudi na majibu ya kukatisha Tamaa ila kati yao wengine wakarudi na majibu ya kutia hamasa.Sasa wewe subili bani sisi na msemaji wetu mohamed ally hao wamisri hata wangekuwa namna gani tunachojua kwa mkapa hatoki mtu.Simba nguvu moja.
Simba watake watapigwa....wasitake watapigwa
 
Back
Top Bottom