Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Hauna akilitatizo diamond bila vijembe atapotea, ndio vinavyombeba
DIAMOND BABA LAOKama kazi ni nzuri inaenda tu, kwani nani aliyetoboa zaidi hapo?
GoodKwahiyo Mond akitoa Kazi kuipa promo kwakutuma clip na huyu anatoa kazi then anabunda unaona professional ni anayebunda.
Hao wakina brown wote ni wajinga.
GoodDonald Trump pamoja kuwa rais wa taifa kubwa muda wote yupo Twitter,kwa nini asiweke mtu wa kuiendesha?kaa siku tatu alafu ingia IG ya Chris Brown uone,wakina Sanchez wanapost mpaka mbwa inakuwa ajabu mtu kupost birthday??kila mtu na lifestyle yake aliyoichagua tuache kupangia watu namna ya kuishi kwa ku refer wengine wanavyoishi!!
Kwa hiyo nini?. Hakuna cha kwa hiyo. Fuateni tu anavyotaka huyo jamaa hapo juuKwa hiyo?
So what? Why?. Fuata anavyotaka hapo jamaaKabisa..
So what!??
Na utamu wa social media a control mhusika mwenyewe. Zile sio official company websites za kushughulikiwa na mahafisa habari au mameneja!!!!Ila twitter atakuwa ana control mwenyewe,sababu hata wakati wa xenophobia alitoa kauli kali kupitia twitter ,mpaka kufikia hatua ya kujibizana na AKA.Sizani kama aliandikiwa.
Kupost video 10 kwa show moja ni ushamba
kwa maana hiyo tuseme wewe una exposure kubwa ya matumizi ya IG kuliko Diamond?Sio wetu huku sisi nyimbo ikifikisha 1m views anascreenahot anapost , kuna siku diamond alipost screenshot ya chat zake wassap nikaona huyu jamaa vipi
Hapana mkuu kwanza IG sina kwenye simukwa maana hiyo tuseme wewe una exposure kubwa ya matumizi ya IG kuliko Diamond?
Watanzania ni watu wa hovyo sana mkuu...Donald Trump pamoja kuwa rais wa taifa kubwa muda wote yupo Twitter,kwa nini asiweke mtu wa kuiendesha?kaa siku tatu alafu ingia IG ya Chris Brown uone,wakina Sanchez wanapost mpaka mbwa inakuwa ajabu mtu kupost birthday??kila mtu na lifestyle yake aliyoichagua tuache kupangia watu namna ya kuishi kwa ku refer wengine wanavyoishi!!
Umemaliza Kila kitu.Watanzania ni watu wa hovyo sana mkuu...
Unampangiaje mtu namna ya kuishi wakati wewe maisha yako yanakushinda,
Wakati kutwa unajaza post na minyuzi kibao hapa JF cha ajabu unampangia mwenzio asipost ktk acc yake ya IG...
HUO NI UZEMBE