Napenda uendeshaji wa IG Page ya Burna Boy

Napenda uendeshaji wa IG Page ya Burna Boy

Natofaitiana na wewe .

Ujue hizo forums ni "Social Media". Repeat "Social".

Sasa kwenye tabia za social zina reflect personality ya mtu. Kuna watu "introverts" utaona tabia zao kwenye social media. Ukiona Insta ya Wizkid ni sawa na huyo Burna ni too professional kama "ubao wa matangazo" (notice board). Hii inaondoa kabisa utamu wa social media. Kwenye social media inabidi u engage fans kwenye mambo ya social ndio inanoga. Ukitaka kujifunza hili tembelea insta za mastaa wakubwa kama mzee mzima SNOOP DOGG. Kule ukienda lazima ucheke na kuna wakati anapost amekaa anavuta ganja yake basi!!!. Wengine wanafanya social media kama reality broadcast flani...!!!

Kwa hiyo hakuna ubaya anachofanya Diamond na artists wengine wengi tu wakubwa...and the fans like it!!!!
Huyu Mondi anakuwa attacked kila angle ili mradi tu ajioni YUKO WRONG, HAWEZI nk. Wakati mambo haya haya takifanywa na SNOOP etc... hakuna anaeshangaa!!!!
 
Donald Trump pamoja kuwa rais wa taifa kubwa muda wote yupo Twitter,kwa nini asiweke mtu wa kuiendesha?kaa siku tatu alafu ingia IG ya Chris Brown uone,wakina Sanchez wanapost mpaka mbwa inakuwa ajabu mtu kupost birthday??kila mtu na lifestyle yake aliyoichagua tuache kupangia watu namna ya kuishi kwa ku refer wengine wanavyoishi!!
Good
 
Kiba ni mfano wa Introvert wa social media. Hadi juzi juzi tu hakuwa ana-follow hata mtu mmoja!!!!
 
Ila twitter atakuwa ana control mwenyewe,sababu hata wakati wa xenophobia alitoa kauli kali kupitia twitter ,mpaka kufikia hatua ya kujibizana na AKA.Sizani kama aliandikiwa.
Na utamu wa social media a control mhusika mwenyewe. Zile sio official company websites za kushughulikiwa na mahafisa habari au mameneja!!!!
 
Hii ni biashara lazima uitangaze. Ndio maana umeona kuna utofauti wa huyo na Diamond. Ona Diamond hata alitoa ngoma mbovu ina-heat tu. Na ndio maana unapozunguzia mziki wa bongo lazima umtupie Diamond
 
Ku
Kupost video 10 kwa show moja ni ushamba

Kumbuka tu so far strategy yake mondi inamlipa. We utabaki tu kumuita mshamba wakati kila siku anaongeza followers na huko huko ANA POST MATANGAZO na watu wana LIKE hayo hayo matangazo!!!!

We ushamuona Burnaboy au Wizkid akipost matangazo?

We unadhani unaweza kufanikiwa kama "brand ambassador" bila kuvutia viewers?
 
Donald Trump pamoja kuwa rais wa taifa kubwa muda wote yupo Twitter,kwa nini asiweke mtu wa kuiendesha?kaa siku tatu alafu ingia IG ya Chris Brown uone,wakina Sanchez wanapost mpaka mbwa inakuwa ajabu mtu kupost birthday??kila mtu na lifestyle yake aliyoichagua tuache kupangia watu namna ya kuishi kwa ku refer wengine wanavyoishi!!
Watanzania ni watu wa hovyo sana mkuu...
Unampangiaje mtu namna ya kuishi wakati wewe maisha yako yanakushinda,

Wakati kutwa unajaza post na minyuzi kibao hapa JF cha ajabu unampangia mwenzio asipost ktk acc yake ya IG...

HUO NI UZEMBE
 
Umemaliza Kila kitu.
 
Back
Top Bottom