ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
- Thread starter
-
- #21
asante sana besti yaani umenifungua macho kwelikweli ngoja niwe kama mm nisicopy kwa wengineKuwa na kitu cha tofaut na wengine tuu, kuwa kama wewe usiige maisha ya wengine
UMAARUFU UNAOUTAKA HUNA BUDI UWE NA CHEMBECHEMBE ZA UDHALILISHAJI MAANA UNAUTAKA WA HARAKA NA WA ZIADA.....PAY DA COST TO BE DA BOS
JARIBU HIZI KIKI ZINAWEZA KUKUTOA....hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aisee wewe huo umaarufu wa aina hiyo mbovu siutaki nataka ule wakutodhalilisha
JARIBU HIZI KIKI ZINAWEZA KUKUTOA....
1- GUNDUA TIBA YA UKIMWI
2- KUWA MCHEPUKO WA BILL GATES
3- KUWA NA PESA NYINGI ZAIDI YA BAKHRESA NA MO DEWJI AU DANGOTE WOTE KWA PAMOJA.
ILA RAHISI KABISA NA KUKUPATIA UMAARUFU KWA TANZANIA YETU NI "KUMSHINDA GIGGY MONEY KULIWA URODA NA HASA KINYUME CHA MAUMBILE"
BY THE WAY...UMAARUFU UNAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO?namba 1 na 2 nitazifanyia kazi ila hiyo ya 3 sihitaki kabisa haifaii kwangu kwani mm nataka umaarufu wa amani na mzuri sio wa kujidhalilisha kiasi hicho huo sio umaarufu ni ulimbukeni kabisa mkuu
khaaaaa ushaanza nana wewe kwani mtu akitaka kuwa maarufu kama viongozi wa vyama mbalimbali na kama bill gate unataka aweje sasaBY THE WAY...UMAARUFU UNAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO?
NAANZA KUKUFIKIRIA KWA JICHO LA SAIKOLOJIA...NAOMBA UMRI WAKO NA DETAILS ZAKO ZOTE IKIWAMO MAISHA YAKO NA KAMA UMEOLEWA MAISHA YAKO YA NDOA YAKO-AJE?
Nenda kanye ikulu tena kwenye meza anayolia chakula raisi.HABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf
Mrs. Tutor B hapo umenena!Umaarufu wa bongo mara nyingi hupatikana kwa kufanya vitu vya kijinga, upo tayari kufanya vitu vya kijinga nikuorodheshee baadhi?
Tangaza utafanya maonyesho uwanja wa taifa kiingilio 5,000. Onyesho hilo ni la wewe kujinyonga live, na pesa ya kiingilio itaenda kusaidia huduma za mama wajawazito.HABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf
mpaka hapa nilipo nishakuwa maarufu wa jf hahahahahaaaaaauko serious???
Kama kweli sema nikufanye uwe famous now
heeeeeeeeeeeeeeee wewe sijitaki na sitaki kuishi akuuuuuuuuuuTangaza utafanya maonyesho uwanja wa taifa kiingilio 5,000. Onyesho hilo ni la wewe kujinyonga live, na pesa ya kiingilio itaenda kusaidia huduma za mama wajawazito.