Napenda umaarufu

Napenda umaarufu

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aisee wewe huo umaarufu wa aina hiyo mbovu siutaki nataka ule wakutodhalilisha
UMAARUFU UNAOUTAKA HUNA BUDI UWE NA CHEMBECHEMBE ZA UDHALILISHAJI MAANA UNAUTAKA WA HARAKA NA WA ZIADA.....PAY DA COST TO BE DA BOS
 
ha ha ha ha we tafuta scandal moja matata sana af sema mm ndio ladyfuraha wa jamii foruma kick utakayopata zaid ya chibu na sepetunga
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aisee wewe huo umaarufu wa aina hiyo mbovu siutaki nataka ule wakutodhalilisha
JARIBU HIZI KIKI ZINAWEZA KUKUTOA....
1- GUNDUA TIBA YA UKIMWI
2- KUWA MCHEPUKO WA BILL GATES
3- KUWA NA PESA NYINGI ZAIDI YA BAKHRESA NA MO DEWJI AU DANGOTE WOTE KWA PAMOJA.
ILA RAHISI KABISA NA KUKUPATIA UMAARUFU KWA TANZANIA YETU NI "KUMSHINDA GIGGY MONEY KULIWA URODA NA HASA KINYUME CHA MAUMBILE"
 
namba 1 na 2 nitazifanyia kazi ila hiyo ya 3 sihitaki kabisa haifaii kwangu kwani mm nataka umaarufu wa amani na mzuri sio wa kujidhalilisha kiasi hicho huo sio umaarufu ni ulimbukeni kabisa mkuu

BY THE WAY...UMAARUFU UNAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO?
NAANZA KUKUFIKIRIA KWA JICHO LA SAIKOLOJIA...NAOMBA UMRI WAKO NA DETAILS ZAKO ZOTE IKIWAMO MAISHA YAKO NA KAMA UMEOLEWA MAISHA YAKO YA NDOA YAKO-AJE?
 
khaaaaa ushaanza nana wewe kwani mtu akitaka kuwa maarufu kama viongozi wa vyama mbalimbali na kama bill gate unataka aweje sasa

mm nataka umaarufu tu mambo ya kisaikolojia mufuate chris mauki atakusaidia hahahahaaaaaaaaaaa
 
HABARINI WADAU

Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa

Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu

Wasalaam

Ladyf
Nenda kanye ikulu tena kwenye meza anayolia chakula raisi.
Bila shaka mpaka kwa Obama watakufahamu ndani ya muda mfupi tu.
 
uko serious???
Kama kweli sema nikufanye uwe famous now
 
Wew ni maarufu humu ndani [emoji30][emoji30][emoji30]wala sikujui
 
HABARINI WADAU

Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa

Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu

Wasalaam

Ladyf
Tangaza utafanya maonyesho uwanja wa taifa kiingilio 5,000. Onyesho hilo ni la wewe kujinyonga live, na pesa ya kiingilio itaenda kusaidia huduma za mama wajawazito.
 
heeeeeeeeeeeeeeee wewe sijitaki na sitaki kuishi akuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom