Napenda umaarufu

Kiite wanyonge Democratic party(wadepa)
aiseee jina zuri sana hili asante sana kwa jina hili la chama change kipya sasa nakuomba wewe uwe mwenyekiti wake

mm ni mhasisi wa chama waonaje hilo
 
Nenda kajisaidie pale LUGALO GETINI
 
Anzisha foundation yako binafsi ya kusaidia watoto walemavu, yatima au misaada kutatua changamoto za watoto shuleni hasa shule za kata vijijini wanachangamoto za kitaaluma na michezo.

Kila unapokwenda kutoa misaada kupitia foundation yako jitahidi kuita(walipe posho) waandishi wa habari Tv, Radio na Magazeti pendwa.

Ongeza idadi kubwa ya followers kwa instagram na facebook kwa kununua page yenye followers wengi au kuwalipa wasanii(au wamiliki wa page) maarufu kukupost kwenye page zao kuongeza friends/ followers.

Epuka skendo, kuwa mfano mzuri kioo cha jamii kwa muonekano, mazungumzo na kila ujumbe wa maandishi unaopost. Kwa muda mchache usiozidi mwaka mmoja watanzania wengi tutakujua kupitia Tv, Radio, magazeti na mitandao ya kijamii.

Kupitia mass media utakuwa karibu na watu maarufu, viongozi sekta mbalimbali na Makampuni makubwa ambapo watakuongezea umaarufu siku hadi siku.

Best wishes!! lady furahia
 
Ingia YouTube anza kutengeneza video na kushare kwenye social media, kama mdada unaweza vuta watu kwa speed sana, sio lazima ufanye ujinga wa kukaa na vichupi, unaweza fanya hata review ya vitu kwa kiswahili, yaweza kua fashion products, au vitu ambavyo unavijua vizuri, kama ni mtu wa electronics hata vitu kama simu, TVs e.t.c, kwanza kwa kua unatumia kiswahili, pili kwa kua ni mdada, unaweza pendwa kwa speed sana. Ukifika video yako ya 15 utakua unafollowers kibao alafu kizuri unatengeneza pesa juu yake. Ni njia mojawapo, nyingine zinakuja.
 
Mtoa uzi unahitaji umaarufu kivipi yani...? tuelezee vizuri maana umaarufu upo kwenye kila sekta.
 
Maana mfano hata "The wall" naona sasa imejichukulia umaarufu pia.
 

Just be yourself, appreciate who you are and what you have.
Serve the society around you with what you have; simply put be a pillar of the society.
Stay humble and don't chase it. Fame, respect and power are earned not demanded.
You do the above, fame will come down the victory lane chasing you.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
JITAHIDI U MZIDI GIGGY MONEY...TOA MTANDAO PENDWA KWA KILA UNAYETEMBEA NAYE NA OMBA KIPINDI KWA ZAMA PIA USISAHAU KUTUPIA PICS ZAKO NA MAKALIO YAWE WAZI...UMEELEWA ENHEEE?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
kwanza utambue umaarufu una gharama zake, baada ya hapo njia ni fupi tu , baadhi ya wenzako wamepata umaarufu kwa kuanza kukaa utupu mbele ya kadamnasi .ANZA NA HIYO KWANZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…