ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
- Thread starter
- #41
kumbe ameshakuwa mkeo mbona hamkunialika kwenye sherehe bestMrs. Tutor B hapo umenena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ameshakuwa mkeo mbona hamkunialika kwenye sherehe bestMrs. Tutor B hapo umenena!
Kiite wanyonge Democratic party(wadepa)hii imekaa vizuri ngoja niende kwa msajiri wa vyama sijui nitakiitaje chama change nipate wanachama kibao
[emoji23] [emoji23] [emoji23]heeeeeeeeeeeeeeee wewe sijitaki na sitaki kuishi akuuuuuuuuuu
aiseee jina zuri sana hili asante sana kwa jina hili la chama change kipya sasa nakuomba wewe uwe mwenyekiti wakeKiite wanyonge Democratic party(wadepa)
Mimi sihitaji umaarufuaiseee jina zuri sana hili asante sana kwa jina hili la chama change kipya sasa nakuomba wewe uwe mwenyekiti wake
mm ni mhasisi wa chama waonaje hilo
Hahahaaaa mjomba bwanaChukua Meli moja hapo ,pita nayo Pugu road mpaka Airport
Nenda kajisaidie pale LUGALO GETINIHABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf
Mrs tutor b????????Mrs. Tutor B hapo umenena!
Hujui??Mrs tutor b????????
HABARINI WADAU

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]JITAHIDI U MZIDI GIGGY MONEY...TOA MTANDAO PENDWA KWA KILA UNAYETEMBEA NAYE NA OMBA KIPINDI KWA ZAMA PIA USISAHAU KUTUPIA PICS ZAKO NA MAKALIO YAWE WAZI...UMEELEWA ENHEEE?
Umeiba dawa sangu eehnauza dawa sa kuwa malufu kwa muda mfupi
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mpe boyfriend wako Mimba.
kwanza utambue umaarufu una gharama zake, baada ya hapo njia ni fupi tu , baadhi ya wenzako wamepata umaarufu kwa kuanza kukaa utupu mbele ya kadamnasi .ANZA NA HIYO KWANZA.HABARINI WADAU