Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Nachukia Umaarufu, napenda sana Quite life. Umaarufu una gharama kubwa sana, lakini una nini cha kulipa?HABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf