Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe

Money Penny: haya nambie mwanangu

Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati?!

Money Penny: kwanini unapenda wadogo zako kama sio wanao?

Mtoto: wanaume wadogo Wana vitu ambavyo navitaka lakini sivipati

Money Penny: kama nini?

Mtoto:
1. Wanajua kupenda
2. Wanajua kugegeda
3. Wanajua kutoa romance
4. Wanajua kutoa attention, wako very attentive kwenye maswala ya kupenda na mambo yetu ya chumbani

Ila wanaume watu wazima Wana shida moja Tu
1. Wanajua kupenda lakini kuipata muda wao NI ngumu
2. Ndio wanahela lakini hela sio Kila kitu wakati mwingine unamwitaji hayupo
3. Kwenye mechi atakupa kigoli 1 kalala kajiongeza Sana 2 au 3

Kwakweli nawamiss wanaume wadogo, Ila siwapati napata watu wazima tuuu nifanyaje?

Haya wale akina pupils wenye mizuka yenu, mumsaidie mwanangu afanyaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…