Napenda wanawake wenye wapenzi!

Napenda wanawake wenye wapenzi!

hak ya nan we unapenda vya bure mkuu na ndio maana sio tu unawapenda wenye wapenz, bt wale nyumba ndogo ndiyo type yako coz wanahongwa sana na ww unajisevia hapo hapo vya wanaume wenzio.
Ila jamn haya matangazo ya mitandao ya ngono hamyaoni au vp,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Jaribu kujiuliza kwenye hizo cheni za nyumba ndogo TUKO wangapi?
 
kumbe tupo wengi...hamna raha kama kula goma la jamaa tena uwe unamjua
 
Hee... Mtoa mada sijui kapotelea MABWEPANDE!!
 
Huna jipya, unakwepa gharama tuu. Si unajua hawezi kukuomba chochote mzee yupo. Huna tofauti na omba omba. Utakuja tiwa kisu, wanaohudumia wanauchungu na mapesa yao.
 
dah umewahi kujichoma kisu mwenyewe??? jaribu uone maumivu yake..!!!!!!.....!!!!!!! halafu uje utusimlie na kuwa uyaone.
 
Kiukwel napenda sana kampan ya wanawake wenye wapenzi. Sipend singles wala wake za watu, bali wenye maboyfriend! Tena napenda zaidi wanawake ambao ni nyumba ndogo za wanaume wengine! I mean nawapenda kufanya mpnz. Hadi najishangaa.
We ***** nini?
 
Kiukwel napenda sana kampan ya wanawake wenye wapenzi. Sipend singles wala wake za watu, bali wenye maboyfriend! Tena napenda zaidi wanawake ambao ni nyumba ndogo za wanaume wengine! I mean nawapenda kufanya mpnz. Hadi najishangaa.

Sema unapenda bure na mpenda bure makombo hayamshughulishi!
 
1)unaogopa gharama..
2)unapenda vya bure..
3)unapenda kulelewa..
Pole!
 
bro, issue sio kuwapata, huyu jamaa anawataka walio kwenye mahusiano, kigezo cha kuwa nae ni lzm uwe na hawala au boyfriend. ukidanganya we singo anasepa

hapo nimemuulewa vizuri, ni mkwepa majukumu, mtu kama huyu anaogopa hata kuanzisha familia, na hata akianzisha familia ataisukumia kwa ndugu zake wenye uwezo ki-fedha.
 
i adore jf! angalia usijegeuzwa punga cku moja! Tuko have made my morning!
 
Last edited by a moderator:
usiujali,
tabia hiyo itakoma mara tu wanaume zao watakapoushughulikia na kukudhibiti............
 
Faida za girlfriend wa wa2, kwanza hakupi presha ya kumuoa, pili hautoboki badala yake yye ndo anakuhudumia kazi yko ni kuwafunika mabwana zake kwa bed!
 
Pole sana ndugu yangu, ila hata mimi nina tatizo linalokaribiana hilo. Mimi napenda sana wajane, waliotalikiwa na mijimama dizini hiyo. Jamani wana JFnaombeni ushauri wa namna ya kukwepa hii dhahama
 
Najaribu kujikumbusha wimbo we Chege; "... usipende vitu vya bure vina madhara ... mtoto wa kiume kavamia bia kashika ukuta..."
 
Back
Top Bottom