napenda wengi

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,165
wanajf wenzangu ninapenda watu wanne tofauti,na sasa imefika kipindi nataka nibaki na mmoja tu,nashindwa kuchagua nifanyeje?
 
There must be the one u love most,so choose that one!
 
sasa kunashida gani kupenda watu? sio wanne tu wapende watu wote, inamaana hata mama yako na baba yako pia huwapendi?

By the way, next time unapo omba ushauri, be specific, Sawa bwana mdogo? eheee.
 
You love none of them,haha we subiri tu kesho ntatoa ushuhuda
wangu humu,dude,...stop what you're doing
 
Nipe mmoja mi sina ntakuwa nimekupunguzia kwaiyo saivi jua umebakia na watatu.
 
Baada ya kuwa2mia muda mrefu hatimaye leo unataka kuwamwaga??wanaume bwana..
 
Ahhh kumbe unawapenda tuu. Haina shida kuwapenda we endelea kuwapenda mpaka mwisho wa maisha yako
 
<font color="#000080"><b>sasa kunashida gani kupenda watu? sio wanne tu wapende watu wote, inamaana hata mama yako na baba yako pia huwapendi?<br />
<br />
By the way, next time unapo omba ushauri, be specific, Sawa bwana mdogo? eheee.</b></font>
<br />
<br />
umenielewa lakini,ni kimapenzi
 
And then how can u love madada wanne na useme unawapenda. Sema ulikuwa unawatumia na kuwatamani hakuna mapenzi hapo
 
wape mtihani kwa nyakati tofauti, atakayefanya ndio huyo ubaki nae
 
utapendaje wanawake wa 4 na ww una moyo 1? sema unawatamani 2 wote, ila kupenda huwa ni moja tu
 
angalia kama dini inakuruhusu anza oa mmoja mmoja
 
wanajf wenzangu ninapenda watu wanne tofauti,na sasa imefika kipindi nataka nibaki na mmoja tu,nashindwa kuchagua nifanyeje?

Mbona rahisi chagua unayempenda na anayekuridhisha kuliko wote. Halafu jiulize wewe ni unapenda nini pia? Kama unapenda .... mpende wa .... hali kadhalika hivyo hivyo, utampata tu. Au ukishindwa nipende mimi tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe lakini sharti usiwe nje ya nchi.

 
tupe taarifa zao za kutosha tuweze kukupa ushauri wa kutosha........................
 

kupendana sasa kumekuwa kama kula njugu ambazo hujui zimelimwa wapi, kuvunwa wapi na zilitunzwaje...............kazi ni kutafuna tu tumbo litajijua....................lenyewe.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…