Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
wanajf wenzangu ninapenda watu wanne tofauti,na sasa imefika kipindi nataka nibaki na mmoja tu,nashindwa kuchagua nifanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br /><font color="#000080"><b>sasa kunashida gani kupenda watu? sio wanne tu wapende watu wote, inamaana hata mama yako na baba yako pia huwapendi?<br />
<br />
By the way, next time unapo omba ushauri, be specific, Sawa bwana mdogo? eheee.</b></font>
wanajf wenzangu ninapenda watu wanne tofauti,na sasa imefika kipindi nataka nibaki na mmoja tu,nashindwa kuchagua nifanyeje?
Unaangaliaga ile program ya Bachelor???
Mbona rahisi chagua unayempenda na anayekuridhisha kuliko wote. Halafu jiulize wewe ni unapenda nini pia? Kama unapenda .... mpende wa .... hali kadhalika hivyo hivyo, utampata tu. Au ukishindwa nipende mimi tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe lakini sharti usiwe nje ya nchi.