Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry wingi wa biashara siyo mabiashara, naona ubongo wako umecheza kidogo. Watu design yenu huwa naona mko na hulka kama za mwendazake, nisamehe kama utakwazika na hongera kama kwako ni sifa kuwa kama mwendazake.Mtafuteni huyo anayemshauri rais wa sasa kuhusu mambo ya Corona kwamba watu wanazidi kufa huku mtaani, fungeni mashule na mavyuo na mabiashara, na makanisa na misikiti yenu. Jifungieni ndani maana huko nje mwafa. Jifungieni hadi tuwaletee vaccine ya Pfizer, vinginevyo mwafa!
Chanjo ni hiari yako, kama wew unataka kupigwa sindano sema tu utapigwa mpaka uchakae kwani wapigaji wapo sana tuLockdown ni hatua muhimu kuelekea chanjo,
Tuanze na hiyo kama miezi miwili hivi then tupigwe sindano nchi nzima.
Ndiyo ujinga wenu, kwani lockdown lazima kufungia. Kuna hatua nyingi za kuchukuaMtafuteni huyo anayemshauri rais wa sasa kuhusu mambo ya Corona kwamba watu wanazidi kufa huku mtaani, fungeni mashule na mavyuo na mabiashara, na makanisa na misikiti yenu. Jifungieni ndani maana huko nje mwafa. Jifungieni hadi tuwaletee vaccine ya Pfizer, vinginevyo mwafa!
Lockdown maana yake nini?Ndiyo ujinga wenu, kwani lockdown lazima kufungia. Kuna hatua nyingi za kuchukua
Mimi nashauri tupige lockdown ya miezi miwili Ili tuangalie kama kweli Coro ipo au haipo.
Kweli kabisa hayaNdugu zako wamekufa wangapi?