#COVID19 Napendekeza aliyekuwa 'akimshauri' Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme Tanzania hakuna kabisa 'Corona' asakwe popote na 'anyongwe' upesi sana

Kama kuna watu wenye roho mbaya na ukigeugeu duniani basi ni watusi.
 
Moja ya conditions za kupewa Chanjo ni pamoja na nchi kufuata miongozo ya WHO ikiwa ni pamoja na lockdown na kuwekwa karantini kwa wote waliokutana na confirmed cases. Tutegemee Lockdown na quarantine
 
Sorry wingi wa biashara siyo mabiashara, naona ubongo wako umecheza kidogo. Watu design yenu huwa naona mko na hulka kama za mwendazake, nisamehe kama utakwazika na hongera kama kwako ni sifa kuwa kama mwendazake.
 
Lockdown ni hatua muhimu kuelekea chanjo,

Tuanze na hiyo kama miezi miwili hivi then tupigwe sindano nchi nzima.
Chanjo ni hiari yako, kama wew unataka kupigwa sindano sema tu utapigwa mpaka uchakae kwani wapigaji wapo sana tu
 
Hakuna Corona. Ilikuwa inamuogopa Magufuli.
MPAKA SASA HAKUNA CORONA. Watu 100 siyo Corona.
Isingekuwa naogopa kukamatwa na TCRA, ningesema Awamu ya Sita itatuletea Corona.
 
Ndiyo ujinga wenu, kwani lockdown lazima kufungia. Kuna hatua nyingi za kuchukua
 
Mimi nashauri tupige lockdown ya miezi miwili Ili tuangalie kama kweli Coro ipo au haipo.

Wafuasi wa Jiwe mnatarajia sana wanaozungumzia uwepo wa Covid-19 wapendekeze lockdown lakini haiwi hivyo. Badala yake mnaihimiza wenyewe.

Subirini chanjo ndio muipinge. Hakuna atakayeweka wala kushabikia lockdown. Ni mwendo wa chanjo tu hivi sasa; ushindwe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…