Napendekeza bara la Afrika libadilishwe jina

kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…

Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
Tuanze kwenye nchi. Mfano Swaziland walibadili jina na kuwa Eswatini. Kuna nchi zikibadili majina labda zitatoka hapo zilipo
 
kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…

Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
Unajua jina hilo kimetoka wapi na linamaanisha nini?
 
kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…

Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
Kwanini uchague jina la lugha ya kigeni ?
 
Tanzania kwanza ndo ibadilishwe jina iitwe "chawaland"
 
Back
Top Bottom