FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hatuna hadhi hiiNew Heaven
Kwani New Heaven nayo ni kiafrika? Kwanini lisiitwe Pepo au Maisha?kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…
Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
Kila lugha itaita kwa lugha yake, hata tukiita ‘Mbingu mpya’, waZulu nao wataitabkwa lugha yaoKwani New Heaven nayo ni kiafrika? Kwanini lisiitwe Pepo au Maisha?
Tuanze kwenye nchi. Mfano Swaziland walibadili jina na kuwa Eswatini. Kuna nchi zikibadili majina labda zitatoka hapo zilipokwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…
Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
KwaniniLiitwe kimweri
Unajua jina hilo kimetoka wapi na linamaanisha nini?kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…
Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
Kwanini uchague jina la lugha ya kigeni ?kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…
Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
‘Uingereza’ na ‘England’ ni nchi mbili tofauti..?Kwanini uchague jina la lugha ya kigeni ?
Tanzania labda iwe TanganyikaTanzania kwanza ndo ibadilishwe jina iitwe "chawaland"