Napendekeza elimu ya ufundi stadi ianze kutokewa kuanzia ngazi ya chekechea

Napendekeza elimu ya ufundi stadi ianze kutokewa kuanzia ngazi ya chekechea

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo!

Haya yafanyike kwa haraka!!

Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14!

Nipo tayari kwa hoja.

Karibuni.

PIA SOMA

- SoC04 - Tanzania tuitakayo: Elimu ya vyuo vya ufundi iwe lazima kisheria kwa vijana wote wanaoshindwa kuendelea elimu ya juu

- SoC04 - Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani
 
Back
Top Bottom