FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 6, 2024 #1 Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo! Haya yafanyike kwa haraka!! Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14! Nipo tayari kwa hoja. Karibuni. PIA SOMA - SoC04 - Tanzania tuitakayo: Elimu ya vyuo vya ufundi iwe lazima kisheria kwa vijana wote wanaoshindwa kuendelea elimu ya juu - SoC04 - Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani
Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo! Haya yafanyike kwa haraka!! Tutaona miujiza hapa nchini baada ya miaka 14! Nipo tayari kwa hoja. Karibuni. PIA SOMA - SoC04 - Tanzania tuitakayo: Elimu ya vyuo vya ufundi iwe lazima kisheria kwa vijana wote wanaoshindwa kuendelea elimu ya juu - SoC04 - Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 6, 2024 Thread starter #2 View: https://youtu.be/QQbXkjFKM5k?si=nx2aaR0lkQwqFJZ7
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 8, 2024 Thread starter #3 View: https://youtu.be/2oUxr7149DY?feature=shared Mafunzo ya upishi wa Cake kwa watoto wa chekechea
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Jan 12, 2025 Thread starter #4 Ni hatua nzuri kwa mtaala mpya uliotolewa
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 4,870 Reaction score 8,035 Jan 12, 2025 #5 Kunywa 🍻 Mzee mwezangu
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Jan 12, 2025 #6 Blender said: Kunywa 🍻 Mzee mwezangu Click to expand... Mupe, mupe, muruke, mupe. Bili juu yangu