Kwani Mengi ana umri gani na Klyne ana umri gani mpaka ameweza kuwa mjukuu wake?! Au kipindi cha hisabati wewe ulikuwa unauza sura!Mzee anakula mjukuu waketaratibuu hope kanisa la Kiinjili halitamtenga maana ni mchangiaji mzuri wa miradi ya ujenzi, kwaya nk.