Napendekeza: Harusi ya mzee Mengi ifanyike uwanja wa Taifa

Napendekeza: Harusi ya mzee Mengi ifanyike uwanja wa Taifa

Wasije wakammegea tena kama daktari alivyofanya kwa mkewe wa kwanza mzee bize anasaka noti mpaka anamsahau wife, daktari akajilia vyake taratiibu. Si unajua tena wachaga full kusaka minoti. Huyu bibie Enzi hizo alikuwa anamegwa na Jamaa Fulani anaitwa JIMMY KABWE.
 
Mzee anakula mjukuu waketaratibuu hope kanisa la Kiinjili halitamtenga maana ni mchangiaji mzuri wa miradi ya ujenzi, kwaya nk.
 
Hiyo inafanyikia Machame vijijini mwenyewe nimealikwa, aah karibuni wazamiaji kutakua na fungulia mbwa
 
Kylini lazima mchepuko una kuhusu umenibania fursa kijana mwenzio, namsubir mzee mengi akwishe nguvu kabisa au atakuwa anatumia dawa nini
 
Mzee anakula mjukuu waketaratibuu hope kanisa la Kiinjili halitamtenga maana ni mchangiaji mzuri wa miradi ya ujenzi, kwaya nk.
Kwani Mengi ana umri gani na Klyne ana umri gani mpaka ameweza kuwa mjukuu wake?! Au kipindi cha hisabati wewe ulikuwa unauza sura!
 
Mzee wetu kaamua kufanya kimya kinda. Hataki nzi. Hongera sanaa
 
Back
Top Bottom