Napendekeza iundwe serikali ya mpito itakayoongozwa na Jaji Joseph Warioba ndo tuende kwenye uchaguzi

Napendekeza iundwe serikali ya mpito itakayoongozwa na Jaji Joseph Warioba ndo tuende kwenye uchaguzi

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1763401532966.png

Kwa wanaoitakia mema Tanzania, nashauri tuwe wakweli. Serikali ya sasa ni batili na haramu. Hivyo, nashauri tuunde serikali ya mpito kama walivyofanya Bangladesh na Nepal ambapo serikali ya mpito itasimamiwa na mtu mwenye udhu kama Jaji Joseph Warioba.

Hatuhitaji kuletewa na Machawakwera wanaojifanya kutoona mauaji na unyama vilivyofanyika nchini kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi sasa. Je, wewe unashauri nini?
 
Back
Top Bottom