Pre GE2025 Napendekeza kauli mbinu ya Rais Samia Uchaguzi Mkuu 2025 iwe "Kazi Kubwa, Matokeo Makubwa. Pamoja Tujenge Nchi"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Mwisho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndio mwanzo wa uchaguzi mkuu na hapa nazungumzia wa 2025 ambao tuna Imani mgombea wa CCM atakuwa ni Dkt. Samia Suluhu, Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Binafsi ,ninaamini Rais ni mbeba maono na mzalendo wa kweli ndio maana nitafurahi kama ataendelea ili aendelee pale alipoishia.

Kama akiwa ni yeye ,mgombea urais kupitia CCM na ninaamini atakuwa ni yeye basi napendekeza kaulimbiu yake iwe

" KAZI KUBWA, MATOKEO MAKUBWA. PAMOJA TUJENGE NCHI YETU"

Kauli mbiu hiyo inaweka mkazo kwa kauli mbiu ya HAPA KAZI TU na kaulimbiu ya utawala wa awamu ya 6 ya KAZI IENDELEE na Sasa ni wakati wa matokeo makubwa baada ya kazi kubwa.

Kaulimbiu hiyo itakuwa inahamasisha kuwa kazi kubwa inayofanywa na Serikali Ina matokeo makubwa kwa wananchi na itaweka mkazo na msisitizo wa kutoka wa matokeo makubwa kutokana na kazi kubwa katika miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea.

Ni kauli inayoweka msisitizo na hamasa kwa kila kiongozi au mtumishi wa umma kuwa kazi kubwa zina matokeo makubwa. Kwa itaweka msisitizo wa kufanya kazi kwa bidii.

Ni kauli ambao itawahamasisha wananchi kujituma kufanya kazi kwa bidii ili waweze kupata matokeo makubwa ambayo ni maendeleo na mafanikio.

Ni kauli yenye nia ya kuwaunganisha watanzania kwamba mshikamano wetu ndio utakaojenga nchi.

Ni kauli ambayo itakayochochea umoja baina ya watanzania na kukataza vitendo au kauli za kuwagombanisha.

Napendekeza Rais Samia atumie kaulimbiu kwa lengo la kutilia mkazo kauli ya KAZI IENDELEE na Sasa kazi iliyoendelee ni kazi kubwa na Sasa ni matokeo makubwa ya kazi hiyo. Ni kauli itakayojikita kuonesha matokeo ya kazi kubwa iliyofanyika kwenye kila sekta na kila eneo. Nawasilisha

Ahsante
 
Wana yao, utaisikia siku ya uzinduzi wa kampeni yake
 
Yale yale ya Big Results Now ya Msoga mnayarudisha...... Hampoi!! 😳
 
Hapana. Kauli mbiu iwe" utapeli mkubwa wizi wa kutosha, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake"
 
Kwani atagombea? Makonda amesema amerogwa sana kuliko mtu yoyote nchi hii .
 
Kila awamu na kauli mbiu yake. Weee unaongelea awamu gani ndo itumie kauli mbiu yako,?
 
Hebu jamani tuwe wakweli hizi takataka zilishaibua mradi gani kwa mfano? Maana miradi yote ni mwenda!
 
Hii ndio itakuwa kauli mbiu bora kabisa kwa mama yetu KAZI KUBWA MATOKEO MAKUBWA. PAMOJA TUJENGE NCHI YETU lakini kama ni ndefu iwe kati ya
1. KAZI KUBWA MATOKEO MAKUBWA
2. au PAMOJA TUJENGE NCHI YETU
 
Mwisho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndio mwanzo wa uchaguzi mkuu na hapa nazungumzia wa 2025 ambao tuna Imani mgombea wa CCM atakuwa ni Dkt. Samia Suluhu, Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Binafsi ,ninaamini Rais ni mbeba maono na mzalendo wa kweli ndio maana nitafurahi kama ataendelea ili aendelee pale alipoishia.

Kama akiwa ni yeye ,mgombea urais kupitia CCM na ninaamini atakuwa ni yeye basi napendekeza kaulimbiu yake iwe

" KAZI KUBWA, MATOKEO MAKUBWA. PAMOJA TUJENGE NCHI YETU"

Kauli mbiu hiyo inaweka mkazo kwa kauli mbiu ya HAPA KAZI TU na kaulimbiu ya utawala wa awamu ya 6 ya KAZI IENDELEE na Sasa ni wakati wa matokeo makubwa baada ya kazi kubwa.

Kaulimbiu hiyo itakuwa inahamasisha kuwa kazi kubwa inayofanywa na Serikali Ina matokeo makubwa kwa wananchi na itaweka mkazo na msisitizo wa kutoka wa matokeo makubwa kutokana na kazi kubwa katika miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea.

Ni kauli inayoweka msisitizo na hamasa kwa kila kiongozi au mtumishi wa umma kuwa kazi kubwa zina matokeo makubwa. Kwa itaweka msisitizo wa kufanya kazi kwa bidii.

Ni kauli ambao itawahamasisha wananchi kujituma kufanya kazi kwa bidii ili waweze kupata matokeo makubwa ambayo ni maendeleo na mafanikio.

Ni kauli yenye nia ya kuwaunganisha watanzania kwamba mshikamano wetu ndio utakaojenga nchi.

Ni kauli ambayo itakayochochea umoja baina ya watanzania na kukataza vitendo au kauli za kuwagombanisha.

Napendekeza Rais Samia atumie kaulimbiu kwa lengo la kutilia mkazo kauli ya KAZI IENDELEE na Sasa kazi iliyoendelee ni kazi kubwa na Sasa ni matokeo makubwa ya kazi hiyo. Ni kauli itakayojikita kuonesha matokeo ya kazi kubwa iliyofanyika kwenye kila sekta na kila eneo. Nawasilisha

Ahsante
Ndefu mmno duuuuu
 
Naona yametimia Chama kimependekeza kauli mbiu ya " KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE" muelekeo wa mada hii ndio umetoa kaulimbiu hiyo .
 
Back
Top Bottom