FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Is it possible kwenye dunia hii ya ubepari?Kwahiyo ukiwasha king’amuzi hicho itakuja menu ya kampuni unayotaka kuangalia, utachagua either Dstv, Startimes, Azam, Zuku, Digitek nk; na pia endapo kampuni nyingine yeyote itataka kujiunga kuongezwa kwenye menu, inafanyika software update ya kuiongeza automatically unapokiwasha
Inawezekana sana tu, maana dawa ya bepari ni bepari, so atakuja bepari mwingine ambae ataona fursa katika hili na atawafunika hao wanaong’ang’ania monopolyIs it possible kwenye dunia hii ya ubepari?
Ndio maana tunachombo cha usimamizi (TCRA), kikiunda kanuni basi hauna budi kuifuata, vinginevyo unafutiwa leseniNadhani kila king'amuzi kinakuwa na teknolojia yake. Sidhani kama itakuwa rahisi kwa kampuni kama DSTV wakubali watumie king'amuzi sawa na watu kama Startimes.
... kama nimemwelewa mleta mada anapendekeza TV ziwe kama radio; kwa kutumia redio moja unaweza kupata stations zote as along as mawimbi yanakufikia. Ni wewe kucheza na button kutafuta FM, MW, SW1, SW2, SW3, ... etc.Nadhani kila king'amuzi kinakuwa na teknolojia yake. Sidhani kama itakuwa rahisi kwa kampuni kama DSTV wakubali watumie king'amuzi sawa na watu kama Startimes.
Makapuni ya simu tayari yanatoa laini ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yeyote unayoitaka, iwe Samsung, iphone, tecno nk., hivyo hivyo na makampuni ya TV yatoe Kadi ambayo mtu unaweza kwenda kuweka kwenye decoder yeyote (universal) unayopenda.Hata makampuni ya simu waweke vocha moja hiyohiyo inaingia mtandao wowote
... tatizo technology zote ziko imported na haziwez kubadilishwa kirahisi na TCRA. Duniani huko wakibadili kama unavyoshauri ndipo TCRA watakuwa na "meno" ya kutunga kanuni ziendane na technology hizo.Ndio maana tunachombo cha usimamizi (TCRA), kikiunda kanuni basi hauna budi kuifuata, vinginevyo unafutiwa leseni
Hapa nimekuelewa mkuu, Kwamba makampuni ya hivi Vingamuzi Yauze Kadi na vifurushi,. Kingamuzi kiwe kimoja kinachoruhusu kadi yoyote ya kampuni yoyote ya Kingamuzi.. Au nimeelewa tofauti?Makapuni ya simu tayari yanatoa laini ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yeyote unayoitaka, iwe Samsung, iphone, tecno nk., hivyo hivyo na makampuni ya TV yatoe Kadi ambayo mtu unaweza kwenda kuweka kwenye decoder yeyote (universal) unayopenda.
Mbona ving’amuzi universal ndio hivi hivi tu uki-unlock? Hata simu zamani ukinunua ya Tigo, halafu ukataka kuweka laini ya Vodacom unaenda kwa fundi simu anai-flash ili kuondoa ili programme na kurudisha default factory settings (unlock), kwahiyo hakuna cha ajabu, pia tukiweka kanuni zetu, hao wanaotengeneza watabadilisha kulingana na matakwa yetu, maana sisi ndio wateja na watafanya tunachokihitaji.... tatizo technology zote ziko imported na haziwez kubadilishwa kirahisi na TCRA. Duniani huko wakibadili kama unavyoshauri ndipo TCRA watakuwa na "meno" ya kutunga kanuni ziendane na technology hizo.
Exactly, upo sahihi kabisa!Hapa nimekuelewa mkuu, Kwamba makampuni ya hivi Vingamuzi Yauze Kadi na vifurushi,. Kingamuzi kiwe kimoja kinachoruhusu kadi yoyote ya kampuni yoyote ya Kingamuzi.. Au nimeelewa tofauti?
Hata sasa modem karibu zote ni universal, mwanzoni ndio walikuwa wanazi-lock ili itumike laini moja ya mtandao huo huo waliokuuzia..Mchina atalifanyia kazi suala hilo....
Nakumbuka nlikuwaga na moderm ni universal
Unachomeka line yoyote kitu na box
Ova
Mbona nimeeleza solution, nadhani umesoma heading bila kusoma uziKila king'amuzi kina satellite [emoji2930] yake wanayotumia kwaajili ya kurusha matangazo,labda kama kampuni zote ziamue kutumia satellite moja hiyo inawezekana,mfano madishi ya azamu yanaelekea 7°E, Dstv wanaelekeza South,startimes etc...
GOOD IDEAInawezekana sana tu, maana dawa ya bepari ni bepari, so atakuja bepari mwingine ambae ataona fursa katika hili na atawafunika hao wanaong’ang’ania monopoly
Moderm ni rahisi kuzitatua lindaMchina atalifanyia kazi suala hilo....
Nakumbuka nlikuwaga na moderm ni universal
Unachomeka line yoyote kitu na box
Ova