... OK. Na kwa upande wa satellite? Kutakuwa na dish moja au itakuwaje hapo? Kumbuka kila kampuni ya king'amuzi wana satellite service provider kwa kadiri ya matakwa na makubaliano baina yao. Dadavua kidogo kuhusu hili.Mbona ving’amuzi universal ndio hivi hivi tu uki-unlock? Hata simu zamani ukinunua ya Tigo, halafu ukataka kuweka laini ya Vodacom unaenda kwa fundi simu anai-flash ili kuondoa ili programme na kurudisha default factory settings (unlock), kwahiyo hakuna cha ajabu, pia tukiweka kanuni zetu, hao wanaotengeneza watabadilisha kulingana na matakwa yetu, maana sisi ndio wateja na watafanya tunachokihitaji.
Mbona nimeshaelezea njia itakayofanyika kwenye uzi, au umesoma heading tu?... OK. Na kwa upande wa satellite? Kutakuwa na dish moja au itakuwaje hapo? Kumbuka kila kampuni ya king'amuzi wana satellite service provider kwa kadiri ya matakwa na makubaliano baina yao. Dadavua kidogo kuhusu hili.
Dadavua kidogo kuhusu IPTVKaribu kwenye ulimwengu wa IPTV, unakula vitu vyote ni wewe na internet yako tu...
Dadavua kidogo kuhusu IPTV
Sawa, ila sioni hii ikiwa na tija endapo bei za internet ndio hizi tulizonazo hapa nchini.Kirefu cha IPTV ni Internet-based Protocol Television ikimaanisha huduma ya urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja ya televisheni au video zilizohifadhiwa (movies, series n.k) kwa kutumia intaneti.
Hivyo ili utizame chaneli za IPTV, mosi ni lazima kuwe na huduma ya intaneti isiyo na kwikwi, kuwe na TV, simu au kompyuta yenye application ya IPTV au kuwe na kifaa tunaita set-top box (nyingi za siku hizi ni android boxes ambazo unaweka application ya IPTV na kuunga na intaneti, na pia kuna satellite receiver zenye kuweka SIM card, mtu unalipia accounts kadha wa kadha, Mwl.RCT hivi hii kitu bado ipo?)
Zifuatazo ni baadhi ya IPTV applications ambazo ni maarufu na ni bure
1. Kodi - Nimeiweka namba moja kwa sababu unaweza kuinstall kwenye platforms nyingi kama windows, android, ios, linux.
2. Zipo nyingine kama PLUTO, Live stream player, Samsung TV Plus (hii yakupasa uwe na VPN za UK, US maana ikijua IP yako ni ya bongo inagoma) n.k
3. Applications nyingine zote unazoweza tazama mpira au michezo kwa simu, TV n.k kama Yacine TV, Football Live Tv n.k
Sawa, ila sioni hii ikiwa na tija endapo bei za internet ndio hizi tulizonazo hapa nchini.
Inawezekana tu.Is it possible kwenye dunia hii ya ubepari?
Nieleweshe..Inawezekana tu.
Naona umesoma heading bila kusoma uziMawimbi ni tofauti…
Naona umesoma heading bila kusoma uziTatizo ni satellite
Kila dish Lina uelekeo wake
Mawimbi ni tofauti…
Simu za Samsung au Iphone, anaemiliki software ni Voda, Tigo, Airtel, au Halotel?Utofauti wa frequency band hauwezi sababisha king'amuzi kisiwe kimoja isipokuwa antenna (dish) ndio italazimu kuwa na zaidi ya moja sababu kila satelite inabeam duniani toka uelekeo tofauti tofauti...
Ugumu uliopo kwenye king'amuzi kimoja, je ni kampuni ipi itakuwa mmliki wa king'amuzi?
Ving'amuzi ukiacha the hardware part, ndani yake huwa na software ambayo ndio yenye kufanya key decryption, kupopulate TV guide n.k...