Napendekeza, kwa ajili ya usalama barabarani mazoezi ya kukimbia mbio za marathoni yafanyike kwa njia ya mtandao

Napendekeza, kwa ajili ya usalama barabarani mazoezi ya kukimbia mbio za marathoni yafanyike kwa njia ya mtandao

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana maeneo ya mazoezi na vifaa vya mazoezi ya kukimbilia hapo nyumbani kwako au gym nyumba za mazoezi au viwanjani vya michezo vilivyojirani, au maeneo ya pembeni ya miji ila si main road.

Then mshindi atapatikana kwa record ya umbali aliokimbia na muda aliotumia huku kukiwa na ushahidi wa mtandao ile gps tracker location, na record ya video yake.

Makampuni ya mitandao ya simu ni vizuri yadhamini mana washiri watatumia muda wa maongezi wa mitandao ya simu kununua mabando ya kutosha ili kuweza kuwa online wakati wote wa ushiri wa mazoezi hayo ya mbio za marathoni.

FAIDA ZA MBIO ZA MARATHONI KWA NJIA YA MTANDAO.
1.Usalaman barabarani kwa watumiaji wa barabara ikiwemo washiriki kupunguza kuzuia ajali za barabarani

2. Kuondoa KERO na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.

3.Smartness barabara sio sehemu sahihi sio maalumu /mahususi kwa ajili ya michezo/mazoezi

4. Kulinda afya za washiri(kuvuta mimoshi ya magari na vumbi barabarani

5. Washiriki wengi zaidi wanaweza kishiriki kwa njia ya mtandao

6. Inapunguza gharama kwa washiriki

7....

100...
 
Back
Top Bottom