Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,117
Familia pia wameruhusu Achangiwe.Kama familia imeomba kuchangia tuchangie lakini kama wahuni tu acheni isije ikawa mtu anakwenda kuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia pia wameruhusu Achangiwe.Kama familia imeomba kuchangia tuchangie lakini kama wahuni tu acheni isije ikawa mtu anakwenda kuoa
Kubadilisha ndo tiba.Hili tatizo halinaga tiba?
Daaah Huyu mwamba Leo hii anapambania uhai wake hivi....MUNGU MPONYE HIKI KIUMBE CHAKO BADO TUNAKIHITAJI SANAMungu amlinde na kumvusha Salama Prof my Idol.
Kwa hali aliyofikia ni kusogeza siku mbele tu, Bila huruma ya Mungu haiwezekani.
BIMA ina Kikomo chakeItakua hakai wodi za kawaida halafu kama ndio hana bima ya afya matibabu ya magonjwa mengine ni ghali
Kikomo how?BIMA ina Kikomo chake
In Patient ina limit na Out Patient ina Limit kuwa kama ukizidisha tu hizo zingine ni zako... Mf kulazwa mwisho ni siku 60 zikizidi unalipiaKikomo how?
Mastar wetu kwenye mitandao ya kijamii wanaishi maisha ya anasa sana na show off halafu ukiwakumbusha uhalisia wa maisha utaambulia matusi na block juu wanasahau sisi masikini wanaoturungishia maisha yao ndio msaada wao mkubwa wakipata matatizo ila wanajisahau kuanzia kwa,
RUGE MUTAHABA;Huyu hakuwa na makuu watu walimchangia imagine ruge na ma deals yote ila alichangiwa na wananchi wa hali ya chini.
WEMA;wapuuzi wameanzisha utaratibu wakumchangia gari what a waste of money kwa mtu kama yule aliyekuwa anatukana watu na mwenye jeuri.
PROF J ;siongei mengi sana kwasababu kwa sasa anapambania afya yake mwenye nacho asaidie ila mastaa wetu wana kejeli sana na jeuri na wanaona sisi hatufai kuwashauri kwani wametuzidi kila kitu ila wakipata matatizo ndo wanatukumbuka.
Hapa tunazungumzia Professor Jay.Ungetoa wazo kuwa tusisahau kupita hizi hospitali za serikali za mikoa na wilaya kutoa tumisaada.
Kuna watu wanauguza ndugu zao jicho limewatoka, wamekosa huduma fulani baada ya kushindwa kununua dawa ya sh elfu 10 tu.
Huko ndiko kuna thawabu na utu kuliko kuwachangia watu ambao wameshika mamilioni na mamilioni
Nyagi huenda ndiyo chanzo cha matatizo ya leo aliyonayoMwanangu tumepiga nae sana nyagi mitaa ya Africana alipohamia baada ya kuvunjiwa nyumba yake kimara. Get well soon brother
Siwezi kusema ni chanzo lakini labda niseme imechangia maana amezitandika kwelikweli hata whisky. Sasa waweza kukuta figo zilikuwa na msala wake tu sema hizi ndio zikachangia.Nyagi huenda ndiyo chanzo cha matatizo ya leo aliyonayo
Unaweza kutoa mchango wako bila kutukana wengine..kutoa Ni moyo..Nimemchangia kwa kweli ila MACHADEMA ni hovyo sana yaan iwamentelekeza kabisa huyu Mbunge aliewapa ruzuku zote hizo. Hata kutoa taarifa yake kimya.
Mpaka mke wake anasema eti wanaopiga tu simu kweli kweli hovyo sana Halafu hii michango wasisogeze pua hasa Mnyika na genge lake.