Napendekeza Makonda akishinda ubunge apewe Wizara ya Mambo ya Ndani

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Raisi Niko chini ya miguu yako naomba Makonda akipita ubunge mpe wizara ya Mambo ndani ana ushikirikiano na polisi na wadau

Makonda ana ushirikiano vizuri mno na polisi kawapa Hadi magari tofauti na huyo Simbachawene

Wizara ya ndani wadau wakubwa Ni Dini Makonda ana uhusiano vizuri na waislamu Hadi kuhakikisha mufti anakuwa na jengo lenye hadhi na msikiti wenye hadhi

Kwa wakristo makonda huheshimu imani kubwa na ndogo tofauti na huyo mkuu wa wilaya ya Ilala Mjema na waziri wa mambo ya ndani Simbachawene ambaye makanisa madogo wao hao wawil hudharau Sana na kuita vikanisa vibanda umiza as if Ni vibanda vya chips wakati wenye navyo huona Ni cathedral.Makonda Ni mtetezi wa dini kubwa na ndogo ana adabu kwa wakristo.na waislamu

Naomba usimpitishe Simbachawene waziri wa Mambo ya ndani hata akichukua form na Mjema mkuu wa wilaya Ilala mpe chake akajiajiri.Mjema mkuu we mkoa Makonda hata akitoa tamko kutetea dini zisipondwe yeye alikuwa akiibuka kuponda tamko la mkuu wa mkoa hiyo Ni insubordination afungashwe virago

Uwaziri wa Mambo ya ndani mpe Makonda

Ndugulile mkate corona ilipotupata alipinga tusijifukizie ili tufe watanzania wakati dawa ya corona alijua haipo akaona tukose alternative uliyotoa ili tujifie

Tunashukuru kujifukiza kumetusaidia ila Ndugulile afungashwe virago yeye Mjema na Simbachawene wafungishwe virago for good.
 
Mnataka kuanza kuokota miili ya watu kwenye viroba?Makonda afutiliwe mbali na wapiga kura!
 
Raisi Niko chini ya miguu yako naomba Makonda akipita ubunge mpe wizara ya Mambo ndani ana ushikirikiano na polisi na wadau

Makonda ana ushirikiano vizuri mno kawapa Hadi magari tofauti na huyo Simbachawene

Wewe pumzika tuu ushauri wako ni ndoto kwani unamshauri Leo wakati mwenzio kila akipiga ramli anaona zinakataa
IMG_20200623_122420.jpg
 
Kipindi Cha uchaguzi kimefika Simbachawene anatakiwa.kuvuna alichopanda na Sophia.mjema wake kwa kutaka kuleta mitafaruku ya kidini karibu na uchaguzi kea sababu wazijuazo wenyewe Makonda ndio aliokoa jahazi . Sophia Mjema aondoke kwa insubordination na Simbachawene aondoke kwa kutoelewa kuwa kuwa waziri wa mambo ya ndani unatakiwa kuwa na adabu kwa Dini zote ziwe kubwa au ndogo

Idd amin alizarau Dini Ndogo akaxitambua Katoliki na waislamu tu wakati Museveni alikuwa muumini vidini vidogo persecuted wakaingia msituni Idd Amini aliondoka.mchana kweupe jua linawaka.Watu kama Sophia Mjema na Simbachawene Ni hatari kwa usalama wa nchi waondoke apewe Makonda anayejielewa
 
Raisi Niko chini ya miguu yako naomba Makonda akipita ubunge mpe wizara ya Mambo ndani ana ushikirikiano na polisi na wadau

Makonda ana ushirikiano vizuri mno kawapa Hadi magari tofauti na huyo Simbachawene

Wizara ya ndani wadau wakubwa Ni Dini Makonda ana uhusiano vizuri na waislamu Hadi kuhakikisha mufti anakuwa na jengo lenye hadhi na msikiti wenye hadhi

Kwa wakristo makonda huheshimu imani kubwa na ndogo tofauti na huyo mkuu wa wilaya ya Ilala Mjema na waziri wa mambo ya ndani Simbachawene ambaye makanisa madogo wao hao wawil hudharau Sana na kuita vikanisa vibanda umiza as if Ni vibanda vya chips wakati wenye navyo huona Ni cathedral.Makonda Ni mtetezi wa dini kubwa na ndogo ana adabu kwa wakristo.na waislamu

Naomba usimpitishe Simbachawene waziri wa Mambo ya ndani hata akichukua form na Mjema mkuu wa wilaya Ilala mpe chake akajiajiri.Mjema mkuu we mkoa Makonda hata akitoa tamko kutetea dini zisipondwe yeye alikuwa akiibuka kuponda tamko la mkuu wa mkoa hiyo Ni insubordination afungashwe virago

Uwaziri wa Mambo ya ndani mpe Makonda

Ndugulile mkate corona ilipotupata alipinga tusijifukizie ili tufe watanzania wakati dawa ya corona alijua haipo akaona tukose alternative uliyotoa ili tujifie

Tunashukuru kujifukiza kumetusaidia ila Ndugulile afungashwe virago yeye Mjema na Simbachawene wafungishwe virago for good.
Hicho unachopendekeza ni utoporo mtupu
 
Nchi Kama Mali Yenu vile..

Mnagawana Ruzuku huku mnapiga Miruzi..
 
Back
Top Bottom