Napendekeza Makonda akishinda ubunge apewe Wizara ya Mambo ya Ndani

Mnataka kuanza kuokota miili ya watu kwenye viroba?Makonda afutiliwe mbali na wapiga kura!

Hata akishinda mahakama itatengua kama alivyotenguliwa kihiyo temeke miaka hiyo, labda kina kibatala washindwe kutimiza wajibu wao.
 
Makonda hafai kwa uongozi acha asote mtaani. Huko makanisani ni unafiki tu hakuna kitu afadhali akae nyumbani. Kama unamwona Makonda ni kiongozi mzuri basi pengine ni home boy wako ama ndugu yako ama.....
 
Mbona umemshusha? Apewe Urais kamili
 
Thread hii ni ya kitoto mno.
 
Wakati wa kuomba Kura atakuwa anaitwa Daudi Albert Bashite.
 
Wakati wa kuomba Kura atakuwa anaitwa Daudi Albert Bashite.
Sheria zinaruhusu kubadili jina muda wowote wakati wowote ukijisikia tena bila kueleza sababu .Hata wewe ukitaka kesho waweza kwenda mahakamani ukabadilisha jina lako kutoka hilo ulilo nalo na ukajiita Daudi Albert Bashite. na fomu za ugombea ukajaza hivyo inakubalika kisheria
 
Kwani yeye ndiye aliye kusaidia wewe kupata hiyo kazi yako ya ulinzi hapo lumumba?
 
Wacha kujibaraguza wewe mtumwa wa chakubanga, nani akusikilize wewe mpiga ramli?
 
Tanzania si tutatengwa na dunia sasa
 
Hivi Bashite amewahi kuwa mkazi wa Kigamboni?Kwa nini asigombee Kawe alikoishi miaka mingi
 
Wajumbe wa CCM tuliopo Kigamboni hatutawaangusha. Makonda tunamla kichwa mapema tu ili akajiajiri kama alivyokua akihubiri
 
Naunga mkono haja kwa kuwa huyu ni mkuu wa wasiojulikana
 
Yaani subiri atakatwa kama karoti ya mtori!!
 
Kwahiyoo kumbe mungujiwe anamuogopa Sana bashite? Si alishawapiga ban waridhike na nyadhifa zao za kuteuliwa?

Akaenda mbali kudai atakayekuwa na tamaa, asiyeridhika Kama vijana wa miaka ya 82 hatawateua kugombea ubunge? Au ndo atawapa ubunge kwenye zile nafasi zake 10 za kina Mama?

Ngoja tupeleleze Kuna nn kati ya mungujiwe na bashite
 
Bashite hafai kuwa waziri wa mambo ya ndani ila ndo basi tena jiwe kashamtuma hakuna namna
 
Hatuwezi kuwa na waziri wa Mambo ya ndani ambaye hawezi kusafiri kwenda Marekani. Waziri mwenye vikwazo vya kuzulumu watu haki ya kuishi.
 
hafai hata kigogo atazidi 'kudhulumu' watu na kumbuka ana tuhuma nyingi sana kuhusu 'watu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…