Napendekeza Makonda akishinda ubunge apewe Wizara ya Mambo ya Ndani

Unataka mabeberi wavunje uhusiano nasi, tunakosa misaada na pesa za ombaomba, na mtawaongezea kula akina Lissu na wote waliojifanya wakimbizi wa kisiasa.
 

Adhibitishe kwanza jina lake kamili
 
Hivyo ndivyo itakavyokuwa.Makonda wizara ya mambo ya ndani itamuhusu.
 
Naomba matokeo kijana wa lumumba😁😁😁
 
k
KUMBE NA WEWE UKO KWENYE LILE GROUP LA HASARA YA TAIFA
 
Ulipendekeza nini asiposhinda.? Nimesoma kichwa tu!
 
Mpuuzi sana ,na kuna watu wanadai anapangiwa wizara, katika kosa Magu hakosei ni hapo na alisema na karudia "vijana wana tamaa nakuteua unakuja kutosa then na mimi nakutosa halafu tuone nani mjanja"

Ukipata matokeo ya Kigamboni tafadhali share nami.
 
Uwt wameshamuandalia nafasi viti maalumu wanawake wenye msambwanda
 
Wizara ya mambo ya nje utapendeza zaidi ili amndhibiti Mike Pompeyo
 
Hawana nafasi tena ya kuja kuwatesa watz hao mwingine trh 28 anarudi kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…