Napendekeza mfumo wa booking TANAPA utumike NCAA

Napendekeza mfumo wa booking TANAPA utumike NCAA

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Kwa wale wanaotumia hii mifumo miwili watakubaliana kuwa mfumo wa TANAPA ni wa kisasa na rafiki kuutumia wakati wote wa taratibu za booking za wageni ukilinganisha na wa NCAA
Ukiangalia kwa makini unaweza kuona kuwa hii mifumo inafanana pengine kwa 95% hivyo ilikuwa kuboresha tu kidogo kuruhusu utumike na upande wa pili
Ushauri wa nyongeza;
Kama walivyoweza kulink mifumo na TRA kwenye magari kuweza kulipia kwenye mfumo bila tatizo;
walink na mifumo wa passport; kwamba kama kuna mtoto/Expatriate etc mtu akiweka tu passport number imtambue.
Kwa sasa kuna usumbufu kwani ni hadi kufanya manual yaani, mtu aombe passpot za watoto, ascan halafu ndio utume kwenye mfumo.
 
Back
Top Bottom