#COVID19 Napendekeza mkoa wa Kilimanjaro uwekwe "lockdown"

#COVID19 Napendekeza mkoa wa Kilimanjaro uwekwe "lockdown"

Kiukweli kama tunahitaji usalama basi mkoa wa Kilimanjaro uwekwe lock down. Hali huko ni mbaya kuliko inavyoelezwa.

Serikali kama hamtachukua tahadhari mapema msije kusema hamkuambiwa. Wageni wanoingia na kutoka kila siku ndani ya mkoa huo na kusambaa mikoa mingine ni kiama kwa wengine. Imeshakuwa hivyo kuwa Kilimanjaro ina wimbi kubwa la maambukizi ya Covid 19.

Familia moja inapoteza watu kwa zamu na naona serikali imechukulia poa watu wanapita pita tu.

Sisi tumesema!
Kuna kiongozi mkubwa wa serikali muda wowote utasikia bendera nusu mlingoti
 
Kiukweli kama tunahitaji usalama basi mkoa wa Kilimanjaro uwekwe lock down. Hali huko ni mbaya kuliko inavyoelezwa.

Serikali kama hamtachukua tahadhari mapema msije kusema hamkuambiwa. Wageni wanoingia na kutoka kila siku ndani ya mkoa huo na kusambaa mikoa mingine ni kiama kwa wengine. Imeshakuwa hivyo kuwa Kilimanjaro ina wimbi kubwa la maambukizi ya Covid 19.

Familia moja inapoteza watu kwa zamu na naona serikali imechukulia poa watu wanapita pita tu.

Sisi tumesema!
They do not take it seriously labda ni kwakuwa kuna chama kimedominate huko
 
Lockdown siyo ya lazima! Kinachotakiwa ni serikali kusisitiza wananchi kuzingatia taratibu zote za Afya ili kujikinga na ugonjwa huo.Kama kila mwananchi atakuwa serious kuchukua hatua zote za kujikinga madhara yanaweza yasiwe makubwa.
Ummy alimobilize vizuri sana mapambano last year
 
Bila chanjo watu wataondoka sana. Hakuna njia nyingine ya kupambana na COVID zaidi ya hiyo
Nenda kachanjwe halafu kumbuka hayo mambo ya chanjo ni individual hukatawi wala hulazimishwi, naomba tu upunguze mihemko mkashirikiane na rais hiyo tar 28 kupata chanjo.
 
Wacha wapate adhabu kama ni baridi mbona Makambako,Njombe kuko poa ? Wacha wachaga waipate fresh ya shamba
Acha ushamba na wewe.. ukabila unakusaidia nini? Kwa hiyo wachaga wakiipata wewe unafaidika na nini? Ndo utakuwa tajiri?...
 
Wapeleke chanjo zote huko tuwafanye panya wa majaribio. Na selikali imesema haihusiki na chochote kwa madhara ya chanjo lakini
 
Wacha wapate adhabu kama ni baridi mbona Makambako,Njombe kuko poa ? Wacha wachaga waipate fresh ya shamba
Unazngua na ushindwe kwa jina la yesu,Tena umechangnyikiwa unatuombea mabaya
 
Unazngua na ushindwe kwa jina la yesu,Tena umechangnyikiwa unatuombea mabaya
Nyinyi mlivyofanya hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza wavumilia waafrica mtu akifa wote tunakuwa kitu kimoja nyinyi mlichinja na kunywa migombani huku mkisherekea na bado Mungu azidi kuwadabisha kiukweli nawachukia sana
 
Nilikuona famba sana baada ya kuapa kuwa mkuu wa wilaya.
 
Watu wanapenda kupayuka tuu, yaani Moshi hali iwe mbaya halafu Arusha na Dar es salaam pawe salama, kati Moshi na Dar wapi pana mzunguko mkubwa wa watu.
Msiongee vitu msivyovijua,watu wanapukutika Moshi na Arusha. Mnaosema hakuna covid ngoja yawapate kwenye familia zenu ndio mtajua kuwa hamjui.
 
Back
Top Bottom