nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua?
Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet wanatoa vifaa bure na gharama za ufundi, mteja analipia gharama za kifurushi tu tena kwa mwezi tu.
Kwa mtazamo wangu mdogo, endapo watatoa Ving'amuzi na gharama za ufundi bure inaweza kurudisha watazamaji wapya wa Televisheni