nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Kwa hali hio tutaangaliaje hayo mavipindi YaoHicho unachofanya ni siasa, sio biashara,
Bongo watu hawaangalii tv kwa sababu hakuna vipind vya kiubunifu, mbna mpira kila siku watu wanaangalia?
Bongo hata taarifa ya habari tu ipo hovyo inaboa kuchek wanasifia serikali tu
Wawekeze kwenye ubora wa TV zao quality na pia ubora wa vipind, vipind viwe fun,Kwa hali hio tutaangaliaje hayo mavipindi Yao
Sidhani
Hivyo ni anasa acha tulipie! Ila TANESCO watoa huduma ndo wabasilike, huwezi kunipigia gharama za nguzo wakati nikitoa gharama hizo unakuja kuunganishia watu wengine buure bila gharama ya nguzo. Kwa distance wanazoweza kuweka nguzo 1 au 2 wafanye bei ya kawaida ya laki 3 na point siyo kusema laki almost 7Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua?
Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet wanatoa vifaa bure na gharama za ufundi, mteja analipia gharama za kifurushi tu tena kwa mwezi tu.
Kwa mtazamo wangu mdogo, endapo watatoa Ving'amuzi na gharama za ufundi bure inaweza kurudisha watazamaji wapya wa Televisheni
Hili la Tanesco ni ujambazi wa mchana wa saa Saba ukisikia kuvunjiwa nyumba Yako inayotazamna na kituo Cha polisi saa Saba mchana huku polisi wanaangalia ndo hii ya tanesco.Hivyo ni anasa acha tulipie! Ila TANESCO watoa huduma ndo wabasilike, huwezi kunipigia gharama za nguzo wakati nikitoa gharama hizo unakuja kuunganishia watu wengine buure bila gharama ya nguzo. Kwa distance wanazoweza kuweka nguzo 1 au 2 wafanye bei ya kawaida ya laki 3 na point siyo kusema laki almost 7
Hili ni Tanesco ni ujambazi wa mchana wa saa Saba ukisikia kuvunjiwa nyumba Yako inayotazamna na kituo Cha polisi saa Saba mchana huku polisi wanaangalia ndo hii ya tanesco.
Unalipishwa nguzo hlf hiyo nguzo wanakuja wengine nyuma Yako wanafungiwa Bure bila ww kurudishiwa gharama zako. Tanesco inatuibia mchana kweupe Kwa baraka za government
Kuchangia ndo iwe bei hiyo kwa nguzo moja? Hapana hapa tunanunua siyo kuchangiaUngewauliza tanesco wangekufafanulia.
Kimsingi hujanunua kitu Bali umechangia tu ,
Ni kama kwenye mafao mchango wa mwanachama ni mdogo lakini mafao anayolipwa ni makubwa.
Nakubaliana nawe mkuu 🤝Hicho unachofanya ni siasa, sio biashara,
Bongo watu hawaangalii tv kwa sababu hakuna vipind vya kiubunifu, mbna mpira kila siku watu wanaangalia?
Bongo hata taarifa ya habari tu ipo hovyo inaboa kuchek wanasifia serikali tu
Mfano wako si sahihi. Wale wamekaa na pesa yako kwa miaka 15+ ikazaa vya kutosha ndo maana wanaongezea. Usione nssf wanafumua majengo na kuyafanyia bizness ukahisi wanaziokota, ni maokoto ya waliopo kazini. Kwa nini anayeunganishiwa zile nilizochangia naye asichangie? Kwa sababu hazijafika hapo kwa plan za mtaa kuunganishiwa umeme bali ni kwa hitaji la mtejaUngewauliza tanesco wangekufafanulia.
Kimsingi hujanunua kitu Bali umechangia tu ,
Ni kama kwenye mafao mchango wa mwanachama ni mdogo lakini mafao anayolipwa ni makubwa.
Hata kama ni kuchangia kwa nini wasichangie na wateja wapya maana bei ya nguzo siyo hiyo na nimezichangia mimi kuzifikisha huko haikuwa plan ya TANESCO kusambaza mtaaniKuchangia ndo iwe bei hiyo kwa nguzo moja? Hapana hapa tunanunua siyo kuchangia
Tanesco wapumbavu sana sijui hili Shirika kwanini lisibinafsishwe tuHivyo ni anasa acha tulipie! Ila TANESCO watoa huduma ndo wabasilike, huwezi kunipigia gharama za nguzo wakati nikitoa gharama hizo unakuja kuunganishia watu wengine buure bila gharama ya nguzo. Kwa distance wanazoweza kuweka nguzo 1 au 2 wafanye bei ya kawaida ya laki 3 na point siyo kusema laki almost 7