Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
1. Alilidanganya taifa juu ya afya ya raisi, alikua na nia gani?
2. Alishiriki michezo michafu ya uchaguzi.
3. Kuna kesi nyingi hazifanyii kazi, mbona mfanya biashara aliedhurumiwa na TRA alikataa asiongee kwenye mkutano wa kariakoo hali ya kua bado hajalipwa. Yeye anakua anashiba kwa kodi za wananchi wakati wengine wanateseka kwa kudhurumiwa na serikali.