Napendekeza mwijaku awe Rais wa klabu yetu ya simba sc

Napendekeza mwijaku awe Rais wa klabu yetu ya simba sc

Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
Toka mechi na Mbeya City Utopolo wote mumechanganyikiwa, viongozi wanaropoka,wazee wanabwabwaja na nyie vibwengo wa humu jukwaani ndiyo kabisa,sasa huu ni upopoma gani umepost? Hizi siyo dalili nzuri kabisa ubingwa mtausikia tu.
 
Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
giphy.gif
 
yule anayesema AVR badala yq VAR ?

anayesema MIZUKULE badala ya MISUKULE?
 
Ni jambo la msingi sana na heshima kwa klabu yetu kumpa uRais Ndg. Mwijaku kutokana na elimu yake na uzoefu mkubwa alionao ktk masuala ya kimichezo hapa nchini
 
Back
Top Bottom