Napendekeza mwijaku awe Rais wa klabu yetu ya simba sc

Napendekeza mwijaku awe Rais wa klabu yetu ya simba sc

Ni jambo la msingi sana na heshima kwa klabu yetu kumpa uRais Ndg. Mwijaku kutokana na elimu yake na uzoefu mkubwa alionao ktk masuala ya kimichezo hapa nchini
HAMFIKII ZERUZERU MWENYE DEGREE YA POLITICS CHINA NA DEGREE YA MEDIA SOUTH AFRICA ..JAMAA LISOMI KISHENZI MWIJAKU ANASUBIRI PALE
 
Sasa ukitaka kila mwanamke Apendekeze bwana ake nafasi Simba ... Kweli kutakuwa na team hapo? Akiwa tu bwana ako mi naona inatosha dada

Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
 
Back
Top Bottom