Ni jambo la msingi sana na heshima kwa klabu yetu kumpa uRais Ndg. Mwijaku kutokana na elimu yake na uzoefu mkubwa alionao ktk masuala ya kimichezo hapa nchini
Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana