aise dunia ya sas bila mdomo huezi kulaUnadhani Yanga ni sawa na Mikia wanaowapa watu kazi kutokana na midomo yao bila kuwa na elimu husika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wenye elimu wameshindwa kuisemea?! Simba ilikuwa inatamba peke yakeUnadhani Yanga ni sawa na Mikia wanaowapa watu kazi kutokana na midomo yao bila kuwa na elimu husika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwezekana Yanga waboreshe makazi yake kule IkwiririAt least,sababu ndani ya muda mfupi amefanya utani tulio zoea kati ya timu hizi umerudi
Balozi wa mikwala.Awe balozi wa Yanga inatosha
Mchawi sio mtu wa kubishana naeNaona Haji Manara kaufyata kabisa mkia wake! Ndiyo kusema anamuogopa huyo Mzee, au Uongozi wake umemshtukia kama chanzo namba moja kwa timu kufanya vibaya?
Maana ana kipaji cha kuwajaza mashabiki upepo halafu siku ya mechi, mambo yanakuwa tofauti kabisa.