Napendekeza mzee Mpili awe msemaji wa Yanga

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Tangu alipoibuka ghafla kutoka kusikojulikana, mashamsham yameongezeka sana, Yanga imechangamka, kwanini asiwe msemaji wa yanga ili kushindana na Manara?!
 
Duh..

Qualifications za kuwa msemaji unazijua?
Au kuleta mashamsham na Ku trend Instagram ndo unaona imetosha?..

Watz wenye akili kama zako ni mizigo kabisa nchi hii
 
Unaweza kuwa na qualifications lakini ukashindwa kuzitendea haki
 
Naona Haji Manara kaufyata kabisa mkia wake! Ndiyo kusema anamuogopa huyo Mzee, au Uongozi wake umemshtukia kama chanzo namba moja kwa timu kufanya vibaya?

Maana ana kipaji cha kuwajaza mashabiki upepo halafu siku ya mechi, mambo yanakuwa tofauti kabisa.
 
Mchawi sio mtu wa kubishana nae
 
Back
Top Bottom