Napendekeza Namungo iwe timu ya Taifa

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!

Binafsi napendekeza Namungo FC ndio hiwe timu ya Taifa .Au wadau mnasemaje???

Na kwa kuwa mheshimiwa waziri hii timu ndio inatokea kule kwake naamini atalifanyia kazi.
 
mapema wameshaweka huko, timu zetu za simba na yanga sikumbuki ni lini ziliwahi shida ugenini Sudan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…