TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Binafsi napendekeza Namungo FC ndio hiwe timu ya Taifa .Au wadau mnasemaje???
Na kwa kuwa mheshimiwa waziri hii timu ndio inatokea kule kwake naamini atalifanyia kazi.