WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Kipindi Cha kwanza Dk ya 32 sasa Namungo kashafungwa goli 3 kwa 1 .... Agg ni 3-3 sijui wataponaje huko Sudane......!![emoji16][emoji3]mapema wameshaweka huko, timu zetu za simba na yanga sikumbuki ni lini ziliwahi shida ugenini Sudan.
wameniangusha, ila naona wenyeji wana red cardKipindi Cha kwanza Dk ya 32 sasa Namungo kashafungwa goli 3 kwa 1 .... Agg ni 3-3 sijui wataponaje huko Sudane......!![emoji16][emoji3]
Hii mechi inarushwa na chanel gani mkuu3-3 dakika 50'
Azam extra wanaitangaza kwa njia ya sauti dk 82 bado 3-3Hii mechi inarushwa na chanel gani mkuu
Ooh kumbeAzam extra wanaitangaza kwa njia ya sauti dk 82 bado 3-3