WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Kipindi Cha kwanza Dk ya 32 sasa Namungo kashafungwa goli 3 kwa 1 .... Agg ni 3-3 sijui wataponaje huko Sudane......!![emoji16][emoji3]mapema wameshaweka huko, timu zetu za simba na yanga sikumbuki ni lini ziliwahi shida ugenini Sudan.