Napendekeza nauli ya Mwendokasi iwe elfu moja kuepusha kauli zao za 'hatuna chenji'

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja

Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji

Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250

Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?

Mnashindwa kwenda bank na kupata change

Basi Bora iwe nauli elf moja
 
Tanzania again!

Karibu Tanzania ambako miradi ya maendeleo inadorora na kujifia yenyewe kwa sababu wahusika eti hawana chenchi.

FYI, katika kila mradi wa serikali kuna kasoro zaidi ya 100 zitokanazo na uzembe na kukosa weledi - zinazoliletea taifa hasara kubwa.

Truu wot thei sei, Wandaz shal neva end in dhis pat ov the wold!
 
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja

Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji

Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250

Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?

Mnashindwa kwenda bank na kupata change

Basi Bora iwe nauli elf moja

Kinachofanyika hapo ni wizi tu kama wizi mwingine
Bank zipo kila kona zinaombea watu chenji wameshindwa nini kuchukua huko wakawapatia watu?
 
Tutumie kadi kulipa km kivukoni pale hata kwenye treni pia tutumie kadi no mwendo wa kuswapu .
 
Sijui unafikiri kutumia kiungo gani.
Wazo hili halikutoka kichwani Wala kwenye kiungo kinachojiheshimu Kama moyo.
 
Kinachofanyika hapo ni wizi tu kama wizi mwingine
Bank zipo kila kona zinaombea watu chenji wameshindwa nini kuchukua huko wakawapatia watu?
Hii kitu imeanza kulalamikiwa muda tu......wauze hisa kwa private sector chenji zitapatikana......

Yan feri to fire nimelipa elf moja sababu chenji hakuna, nimetoka kariakoo pia no chenji,

Nilienda Morocco pia no chenji sasa wanafanyaje biashara kama hata chenji hawawezi kuzitafuta
 
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja

Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji

Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250

Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?

Mnashindwa kwenda bank na kupata change

Basi Bora iwe nauli elf moja
Hiyo ni excuse ya kitoto kabisa, yaani nauli ipande kisa chenchi? Mbona vinasi vingine hawajosi chenchi?
 
Kudos mkuu...
 
Hauwezi kuondoa tatizo kwa kuongeza tatizo

Mdau aliesema tutumie kadi yupo sahihi
 
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja

Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji

Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250

Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?

Mnashindwa kwenda bank na kupata change

Basi Bora iwe nauli elf moja
Ume kaa uka fikiria wee ukaona ilo ndo la kupendekeza nauli ziongezeke kwa sababu ww una weza kumudu ilo ongezeko vipi kwa wadau wengine wasio weza kulipa iyo alfu1?
 
Na vipi kama chenji hawana siku mzima?
 
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja

Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji

Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 25

Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?

Mnashindwa kwenda bank na kupata change

Basi Bora iwe nauli elf moja
We kula kulala kwa shemeji yako sebuleni tulia maisha huyajui.

Endelea kujibanza kwa shemeji yako mjinga mkubwa
 
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja

Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji

Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250

Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?

Mnashindwa kwenda bank na kupata change

Basi Bora iwe nauli elf moja
Kwanini isiwe Miatano?
Kwanini wasitumie Kadi kama mwanzo?
 
Hiyo ni excuse ya kitoto kabisa, yaani nauli ipande kisa chenchi? Mbona vinasi vingine hawajosi chenchi?

Omba Uraia wa Tanzania kwanza, ndio uchangie hoja za kizalendo

Hiki Kiswahili chako nadhan cha burundi
 
We kula kulala kwa shemeji yako sebuleni tulia maisha huyajui.

Endelea kujibanza kwa shemeji yako mjinga mkubwa

Ulisoma umri wa kujiunga JF? Hii ndio shida ya kudanganya umri wakati wa kujisajiri
 
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja

Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji

Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250

Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?

Mnashindwa kwenda bank na kupata change

Basi Bora iwe nauli elf moja
Ingependeza zaidi kama ungerudishwa mfumo wa kadi hata kama ukilipa wakasema hawana chenji unajua utaitumia hela yako kwenye safari nyingine.
Sio kupandisha bei kiholela.
By the way bei inapanda soon maana washatoa hilo pendekezo la kuongeza nauli.

Jana watu wengi wamelipa elf moja
Because haikujulikana chenji zinakuja saa ngapi

Sasa kipi ni Bora kulipa elf moja au kucancel Safari
 
Back
Top Bottom