Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tatizo chenji basi iwe JEFERO.Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja
Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji
Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250
Ni Jambo la Aibu Sana mbona Kwa vyombo vya usafiri wa binafsi hakuna haya mambo?
Mnashindwa kwenda bank na kupata change
Basi Bora iwe nauli elf moja
Typical mzaramo , urais haukufanyi ujue ligha, typing errors ila unakuzaOmba Uraia wa Tanzania kwanza, ndio uchangie hoja za kizalendo
Hiki Kiswahili chako nadhan cha burundi
Kama tatizo chenji basi iwe JEFERO.
Warudishe mfumo wa DART, Mkurugenzi UDART ni mtu wa teknolojia, nlijua akiingia hapo hiyo ndio itakuwa task ya kwanza, ila sivyo nilivyotarajia. Maybe nayeye ameamua tafuna mwendokasi.
Wew ni wa ajabu. Kwa nini wasitumie mfumo wa kadi au application ya simu unafika na kuscan tu unaingia?
Hela inawekwa kwenye kadi au mpesa huko...
Huoni matumizi ya 1000 yataipoteza Shilling 50 kwenye soko la fedha?
📌📌Tutumie kadi kulipa km kivukoni pale hata kwenye treni pia tutumie kadi no mwendo wa kuswapu .