TRA wanafanya hivyo kila mwaka siku ya mlipakodi, tatizo kubwa sana katika siku hiyo hakuna mfanyabiashara wala Raia tu wa kawaida anaye onekana pale bali wale tu waliolipwa na TRA kuhudhuria kama vikundi vya tamaduni, Wanafunzi hasaa wa Primary pamoja na kuwa wanatangaza, mandamano kupita mabarabarani bado wanaabaki peke yao, Hii inaashiria kuwa TRA HAINA MAHUSIANO MEMA NA JAMII YOTE, TRA NA MFANYABIASHARA NI PAKA NA PANYA.....wanadai wanafuata sheria...(rushwa)