Napendekeza nyimbo ya M. Mpoto ft Harmonize Nimwage radhi iwe nyimbo bora 2018

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Ni nyimbo bora yenye maudhui ya Kitanzania ambayo imepikwa wasafi records, Nyimbo ina melody nzuri na mpangilio mzuri wa mashairi huku yakiwa na ujumbe mzito

Hii nyimbo yafaa kuwa nyimbo bora kabisa ya Kitanzania kwa mwaka huu 2018
 
Bila shaka umefunga ndoa juzi na hiyo nyimbo ikachezwa sana
 
Back
Top Bottom