Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bado kuna wanagawa viroba?
1.Kada ya Ualimu-wavae mashati yenye vufungo mabegani vion meupe yeshe madaraja yao kama vile grade A,AEO iii,EOii,EOi,PEOi,PEOii etc.chini wavaa rangi blue iliyokolea.
2.Wahasibu wote wavae mashati meupe na chini nyeusi mabegani wawekewe kama vifungo na kupewa vyeo kulingana na bodi ya uhasibu tz mfano CPA,Ai-v ,OA, etc
3.Wanasheria mashati meupe na tai nyekundu chini nyeusi,
4.Afisa nyuki,kilimo,uvuvi, wavae maovaroli ya bluu
Mapendekezo yataendelea
huo utakuwa ni ubaguzi mkubwa sasa, sipati picha maafsa kilimo pale temeke wawe wamepiga overall
- kada ya ualimu-wavae mashati yenye vifungo mabegani vion meupe yaonyeshe madaraja yao kama vile grade a,aeo iii,eoii,eoi,peoi,peoii etc. Chini wavaa rangi blue iliyokolea.
- wahasibu wote wavae mashati meupe na chini nyeusi mabegani wawekewe kama vifungo na kupewa vyeo kulingana na bodi ya uhasibu tanzania mfano cpa,ai-v ,oa, etc
- wanasheria mashati meupe na tai nyekundu chini nyeusi,
- afisa nyuki, kilimo, uvuvi, wavae maovaroli ya bluu
mapendekezo yataendelea
Pita ofisi za Ccm mkuu
Haina maana yoyote, haina tija yoyote, haiwez kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa kati, haiwez kuboresha huduma za jamii. Kuna mawazo mengine hayana msingi, bali yataungwa mkono kiushabiki. Nani alikuambia kuvaa hizo nguo zinaongeza kukua kwa uchumi na kuboreka kwa huduma za jamii? Kwani vitambulisho havitoshi?
Tunapenda kushabikia vitu vyepesi wakati yapo mambo makubwa ambayo kama Taifa tukikubaliana kwa pamoja yana TIJA kubwa kuliko haya mambo mafogo. We have to think globally, in a wide spectrum!
Acha viroba bwana shamba overall kwani Fund garage