Napendekeza sare za watumishi wa umma kama ifuatavyo

Wenyeviti na watendaji wa kata wote Kaunda suti za ugolo
 

Haina maana yoyote, haina tija yoyote, haiwez kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa kati, haiwez kuboresha huduma za jamii. Kuna mawazo mengine hayana msingi, bali yataungwa mkono kiushabiki. Nani alikuambia kuvaa hizo nguo zinaongeza kukua kwa uchumi na kuboreka kwa huduma za jamii? Kwani vitambulisho havitoshi?

Tunapenda kushabikia vitu vyepesi wakati yapo mambo makubwa ambayo kama Taifa tukikubaliana kwa pamoja yana TIJA kubwa kuliko haya mambo mafogo. We have to think globally, in a wide spectrum!
 
huo utakuwa ni ubaguzi mkubwa sasa, sipati picha maafsa kilimo pale temeke wawe wamepiga overall
 
Hiyo sera hata ikipita sivai sare! Labda niitunzie kazin nikifika nabadilishia kule
 

Mkuu vp ww upo upande gani hapo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…